1 Mambo ya Nyakati 6:76 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC76 na katika kabila la Naftali; Kedeshi katika Galilaya pamoja na viunga vyake, na Hamothi pamoja na viunga vyake, na Kiriathaimu pamoja na viunga vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema76 Katika kabila la Naftali: Kedeshi katika Galilaya pamoja na malisho yake, Hamoni pamoja na malisho yake na Kiriathaimu pamoja na malisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND76 Katika kabila la Naftali: Kedeshi katika Galilaya pamoja na malisho yake, Hamoni pamoja na malisho yake na Kiriathaimu pamoja na malisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza76 Katika kabila la Naftali: Kedeshi katika Galilaya pamoja na malisho yake, Hamoni pamoja na malisho yake na Kiriathaimu pamoja na malisho yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu76 Kutoka kabila la Naftali, walipokea Kedeshi katika Galilaya, Hamoni na Kiriathaimu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu76 Kutoka kabila la Naftali walipokea Kedeshi katika Galilaya, Hamoni na Kiriathaimu pamoja na maeneo yake ya malisho. Tazama sura |