1 Mambo ya Nyakati 6:66 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC66 Na jamaa nyingine za wana wa Kohathi walikuwa na miji ya mipakani mwao katika kabila la Efraimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema66 Jamaa nyingine za ukoo wa Kohathi zilipewa miji pamoja na malisho yake katika kabila la Efraimu: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND66 Jamaa nyingine za ukoo wa Kohathi zilipewa miji pamoja na malisho yake katika kabila la Efraimu: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza66 Jamaa nyingine za ukoo wa Kohathi zilipewa miji pamoja na malisho yake katika kabila la Efraimu: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu66 Baadhi ya koo za Wakohathi walipewa kama nchi yao miji kutoka kabila la Efraimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu66 Baadhi ya koo za Wakohathi walipewa kama nchi yao miji kutoka kabila la Efraimu. Tazama sura |