1 Mambo ya Nyakati 6:65 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC65 Tena wakawapa kwa kura miji hiyo iliyotajwa majina yake, katika kabila la wana wa Yuda, na katika kabila la wana wa Simeoni, na katika kabila la wana wa Benyamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema65 (Miji iliyotajwa majina hapa juu katika kabila la Yuda, na katika kabila la Simeoni na katika kabila la Benyamini iligawiwa kabila la Lawi kwa kura.) Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND65 (Miji iliyotajwa majina hapa juu katika kabila la Yuda, na katika kabila la Simeoni na katika kabila la Benyamini iligawiwa kabila la Lawi kwa kura.) Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza65 (Miji iliyotajwa majina hapa juu katika kabila la Yuda, na katika kabila la Simeoni na katika kabila la Benyamini iligawiwa kabila la Lawi kwa kura.) Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu65 Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu65 Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu. Tazama sura |