Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 6:61 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

61 Nao waliobaki wa wana wa Kohathi walipewa kwa kura miji kumi, katika jamaa ya kabila hilo, yaani, nusu kabila, nusu ya Manase.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

61 Miji kumi ya eneo la nusu ya kabila la Manase ilitolewa kwa sehemu iliyobaki ya ukoo wa Kohathi kwa kura kulingana na jamaa zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

61 Miji kumi ya eneo la nusu ya kabila la Manase ilitolewa kwa sehemu iliyobaki ya ukoo wa Kohathi kwa kura kulingana na jamaa zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

61 Miji kumi ya eneo la nusu ya kabila la Manase ilitolewa kwa sehemu iliyobaki ya ukoo wa Kohathi kwa kura kulingana na jamaa zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

61 Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

61 Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 6:61
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Kohathi walikuwa Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.

Na hawa ndio waliohudumu pamoja na wana wao. Katika wana wa Wakohathi; Hemani mwimbaji, mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli;

tena katika kabila la Benyamini; Geba pamoja na viunga vyake, na Alemethi pamoja na viunga vyake, na Anathothi pamoja na viunga vyake. Miji yao yote katika jamaa zao ilikuwa miji kumi na mitatu.

Na wana wa Gershoni walipewa kwa kura miji kumi na mitatu, kulingana na jamaa zao, katika kabila la Isakari, na katika kabila la Asheri, na katika kabila la Naftali, na katika kabila la Manase waliokaa Bashani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo