Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 6:57 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

57 Na wana wa Haruni wakapewa miji ile ya kukimbilia, nayo ni Hebroni, tena Libna pamoja na viunga vyake, na Yatiri, na Eshtemoa pamoja na viunga vyake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

57 Wazawa wa Aroni walipewa miji ya makimbilio: Hebroni, Libna pamoja na malisho yake, Yatiri na Eshtemoa pamoja na malisho yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

57 Wazawa wa Aroni walipewa miji ya makimbilio: Hebroni, Libna pamoja na malisho yake, Yatiri na Eshtemoa pamoja na malisho yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

57 Wazawa wa Aroni walipewa miji ya makimbilio: Hebroni, Libna pamoja na malisho yake, Yatiri na Eshtemoa pamoja na malisho yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

57 Kwa hiyo wazao wa Haruni walipewa miji ifuatayo: Hebroni (mji wa makimbilio), Libna, Yatiri, Eshtemoa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

57 Kwa hiyo wazao wa Haruni walipewa miji ifuatayo pamoja na eneo la malisho: Hebroni (mji wa makimbilio), Libna, Yatiri, Eshtemoa,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 6:57
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Ezrahi; Yetheri, na Meredi, na Eferi, na Yaloni; na Miriamu akamzalia na Shamai, na Ishba, babaye Eshtemoa.


na Holoni pamoja na viunga vyake, na Debiri pamoja na viunga vyake;


Tena wakawapa kwa kura miji hiyo iliyotajwa majina yake, katika kabila la wana wa Yuda, na katika kabila la wana wa Simeoni, na katika kabila la wana wa Benyamini.


Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Makeda, mpaka Libna, na Israeli wote pamoja naye, nao wakapiga Libna;


Libna, Etheri, Ashani;


Na katika nchi ya vilima, Shamiri, Yatiri, Soko;


Miji yote ya wana wa Haruni, makuhani, ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na mbuga zake za malisho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo