1 Mambo ya Nyakati 6:55 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC55 wakapewa Hebroni, katika nchi ya Yuda, na vijiji vyake vilivyouzunguka; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema55 hao walipewa mji wa Hebroni katika nchi ya Yuda na malisho kandokando yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND55 hao walipewa mji wa Hebroni katika nchi ya Yuda na malisho kandokando yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza55 hao walipewa mji wa Hebroni katika nchi ya Yuda na malisho kandokando yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu55 Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na maeneo ya malisho yanayouzunguka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu55 Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka. Tazama sura |