Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 6:54 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

54 Basi haya ndiyo makao yao, kwa kufuata mipaka ya kambi zao; wana wa Haruni, katika jamaa za Wakohathi; kwani walikuwa na kura ya kwanza;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

54 Yafuatayo ndiyo makazi yao kulingana na mipaka yake: Wazawa wa Aroni katika jamaa ya Wakohathi kulingana na kura yao,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

54 Yafuatayo ndiyo makazi yao kulingana na mipaka yake: Wazawa wa Aroni katika jamaa ya Wakohathi kulingana na kura yao,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

54 Yafuatayo ndiyo makazi yao kulingana na mipaka yake: wazawa wa Aroni katika jamaa ya Wakohathi kulingana na kura yao,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

54 Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Haruni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia):

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

54 Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Haruni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia):

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 6:54
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

na mwanawe huyo ni Sadoki, na mwanawe huyo ni Ahimaasi.

Na katika Kohathi ni jamaa ya Waamrami, na jamaa ya Waishari, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya hao Wauzieli; hizo ni jamaa za Wakohathi.

Na miji yao yote, kila mahali walipokuwa wakikaa, na kambi yao yote wakayateketeza kwa moto.

nayo ilikuwa kwa ajili ya wana wa Haruni, wa jamaa ya Wakohathi, waliokuwa wa wana wa Lawi; kwa kuwa kura ya kwanza ilikuwa ni yao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo