Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 6:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 na mwanawe huyo ni Elihu, na mwanawe huyo ni Yerohamu, na mwanawe huyo ni Elkana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elkana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elkana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elkana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elkana, Elkana akamzaa Samweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Samweli.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 6:27
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Kohathi; Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.


Kwa habari za Elkana; wana wa Elkana; mwanawe huyo ni Sufu, na mwanawe huyo ni Tohu;


Na wana wa Samweli; Yoeli, mzaliwa wa kwanza, na wa pili Abia.


na Abishua akamzaa Buki; na Buki akamzaa Uzi;


Palikuwa na mtu mmoja wa Rama, Msufi, wa nchi ya milima milima ya Efraimu, jina lake akiitwa Elkana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu, mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, Mwefraimu


Tufuate:

Matangazo


Matangazo