1 Mambo ya Nyakati 6:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Kwa habari za Elkana; wana wa Elkana; mwanawe huyo ni Sufu, na mwanawe huyo ni Tohu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Na hawa ndio wazawa wa Ahimothi: Ahimothi alimzaa Elkana, Elkana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Na hawa ndio wazawa wa Ahimothi: Ahimothi alimzaa Elkana, Elkana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Na hawa ndio wazawa wa Ahimothi: Ahimothi alimzaa Elkana, Elkana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Ahimothi akamzaa Elkana, Elkana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Ahimothi akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi, Tazama sura |