Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 6:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Wana wa Merari; Mali, na Mushi. Na hizi ndizo jamaa za Walawi, kulingana na koo za baba zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 naye Merari aliwazaa Mahli na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kulingana na koo zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 naye Merari aliwazaa Mahli na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kulingana na koo zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 naye Merari aliwazaa Mahli na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kulingana na koo zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi wakiorodheshwa kufuatana na baba zao:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao:

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 6:19
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wana wa Merari; Mali na Mushi. Wana wa Mali; Eleazari, na Kishi.


Wana wa Merari; Mali na Mushi; wana wa Yaazia; Beno.


na Ahitubu akamzaa Sadoki; na Sadoki akamzaa Shalumu;


Na wana wa Kohathi walikuwa Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.


Wa Gershoni; mwanawe huyo ni Libni, na mwanawe huyo ni Yahathi, na mwanawe huyo ni Zima;


Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi kulingana na vizazi vyao.


Na wana wa Merari kwa jamaa zao ni Mahli, na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kwa nyumba za baba zao.


Katika Merari ni jamaa ya hao Wamahli, na jamaa ya Wamushi; hizo ni jamaa za Merari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo