Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 6:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 na Yohana akamzaa Azaria (ndiye huyo aliyefanya kazi ya ukuhani katika nyumba aliyoijenga Sulemani huko Yerusalemu)

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 na Yohanani akamzaa Azaria. (Azaria ndiye aliyefanya kazi ya ukuhani katika hekalu alilojenga mfalme Solomoni huko Yerusalemu).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 na Yohanani akamzaa Azaria. (Azaria ndiye aliyefanya kazi ya ukuhani katika hekalu alilojenga mfalme Solomoni huko Yerusalemu).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 na Yohanani akamzaa Azaria. (Azaria ndiye aliyefanya kazi ya ukuhani katika hekalu alilojenga mfalme Solomoni huko Yerusalemu).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Yohanani akamzaa Azaria (ndiye alifanya kazi ya ukuhani katika Hekalu alilojenga Mfalme Sulemani huko Yerusalemu),

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Yohanani akamzaa Azaria (ndiye alifanya kazi ya ukuhani katika Hekalu alilojenga Mfalme Sulemani huko Yerusalemu),

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 6:10
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa ndio wakuu aliokuwa nao; Azaria mwana wa Sadoki, kuhani,

na Ahimaasi akamzaa Azaria; na Azaria akamzaa Yohana;

Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.

Na ukumbi uliokuwa mbele yake, urefu wake ulikuwa sawa na upana wa nyumba ulikuwa dhiraa ishirini, na kimo chake mia moja na ishirini; akaufunikiza ndani kwa dhahabu safi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo