1 Mambo ya Nyakati 5:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Na nduguze kwa jamaa zao, hapo ilipohesabiwa nasaba ya vizazi vyao; mkuu wao, Yeieli, na Zekaria, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wakuu wa koo wafuatao waliandikishwa katika orodha ya kumbukumbu ya kabila la Reubeni, Yeieli, Zekaria, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wakuu wa koo wafuatao waliandikishwa katika orodha ya kumbukumbu ya kabila la Reubeni, Yeieli, Zekaria, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wakuu wa koo wafuatao waliandikishwa katika orodha ya kumbukumbu ya kabila la Reubeni, Yeieli, Zekaria, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Jamaa zao kulingana na koo zao, walioorodheshwa kwa koo zao kama ifuatavyo: Yeieli aliyekuwa mkuu wao, Zekaria, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Jamaa zao kulingana na koo zao, walioorodheshwa kwa kufuata koo zao kama ifuatavyo: Yeieli aliyekuwa mkuu wao, Zekaria, Tazama sura |