Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 5:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Wakateka nyara ng'ombe wao, na ngamia wao elfu hamsini, na kondoo wao elfu mia mbili na hamsini, na punda wao elfu mbili; na watu elfu mia moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Waliteka nyara ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000 na mateka hai 100,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Waliteka nyara ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000 na mateka hai 100,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Waliteka nyara ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000 na mateka hai 100,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia elfu hamsini, kondoo elfu mia mbili na hamsini, na punda elfu mbili. Pia wakateka watu elfu mia moja,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000. Pia wakateka watu 100,000,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 5:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wakapata msaada juu yao, nao Wahajiri walitiwa mikononi mwao, na wote waliokuwa pamoja nao; kwa kuwa walimlingana Mungu pale vitani; naye akayatakabali maombi yao, kwa sababu walimtumaini yeye.


Kwani walianguka wengi waliouawa, kwa sababu vita vile vilikuwa vya Mungu. Nao wakakaa katika nchi yao hadi wakati wa ule uhamisho.


Basi, BWANA akawapiga Wakushi mbele ya Asa, na mbele ya Yuda; na Wakushi wakakimbia.


Wakazipiga pia hema za ng'ombe, wakachukua kondoo wengi na ngamia, wakarudi Yerusalemu.


Hema zao na makundi yao watayatwaa; watachukulia mbali mapazia yao kwa faida yao wenyewe, na vyombo vyao vyote, na ngamia wao; nao watawapigia kelele wakisema, Hofu ziko pande zote.


tena wanadamu jumla yao ilikuwa elfu thelathini na mbili, katika hao wanawake ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye.


na mdalasini, iliki, uvumba, marhamu, ubani, mvinyo, mafuta ya mzeituni, unga mzuri na ngano, ng'ombe na kondoo, farasi na magari, na miili na roho za wanadamu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo