1 Mambo ya Nyakati 5:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Nao wakakaa huko Gileadi, katika Bashani, na katika miji yake, na katika viunga vyote vya Sharoni, hadi mipakani mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Waliishi katika sehemu ya Gileadi, katika Bashani na miji yake na katika malisho yote ya Sharoni, hadi mipakani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Waliishi katika sehemu ya Gileadi, katika Bashani na miji yake na katika malisho yote ya Sharoni, hadi mipakani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Waliishi katika sehemu ya Gileadi, katika Bashani na miji yake na katika malisho yote ya Sharoni, hadi mipakani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wagadi waliishi Gileadi, huko Bashani pamoja na vijiji vyake, na pia katika maeneo yote ya malisho ya Sharoni kote walikofika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wagadi waliishi Gileadi, huko Bashani pamoja na vijiji vilivyoizunguka, pia katika nchi yote ya malisho ya Sharoni kote walikoenea. Tazama sura |