Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 5:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 na ndugu zao wa koo za baba zao; Mikaeli, na Meshulamu, na Sheba, na Yorai, na Yakani, na Zia, na Eberi, watu saba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yaakani, Zia na Eberi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yaakani, Zia na Eberi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yaakani, Zia na Eberi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Ndugu zao, kulingana na jamaa zao, walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yakani, Zia na Eberi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yakani, Zia na Eberi.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 5:13
2 Marejeleo ya Msalaba  

Yoeli, alikuwa mkuu wao, na wa pili Shafamu, na Yanai, na Shafati, katika Bashani;

Hao ndio wana wa Abihaili, mwana wa Huri, mwana wa Yaroa, mwana wa Gileadi, mwana wa Mikaeli, mwana wa Yehishai, mwana wa Yado, mwana wa Buzi;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo