1 Mambo ya Nyakati 5:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Na wana wa Gadi walipakana na wana wa Reubeni, katika nchi ya Bashani mpaka Saleka; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, hadi Saleka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, mpaka Saleka. Tazama sura |