Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 5:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Na katika siku za Sauli wakapigana vita na Wahajiri, ambao waliangushwa kwa mikono yao; nao wakakaa katika hema zao katika nchi yote upande wa mashariki wa Gileadi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Katika siku za mfalme Shauli, kabila la Reubeni lilizusha vita dhidi ya Wahajiri, wakawaua vitani na kuitwaa ardhi yao yote mashariki mwa Gileadi, wakaishi humo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Katika siku za mfalme Shauli, kabila la Reubeni lilizusha vita dhidi ya Wahajiri, wakawaua vitani na kuitwaa ardhi yao yote mashariki mwa Gileadi, wakaishi humo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Katika siku za mfalme Shauli, kabila la Reubeni lilizusha vita dhidi ya Wahajiri, wakawaua vitani na kuitwaa ardhi yao yote mashariki mwa Gileadi, wakaishi humo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wakati wa utawala wa Mfalme Sauli, walipigana vita dhidi ya Wahagari, wakaanguka kwa mikono yao. Kisha wakaishi katika mahema ya Wahagari katika eneo lote la mashariki mwa Gileadi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Wakati wa utawala wa Mfalme Sauli, walipigana vita dhidi ya Wahagari, wakaanguka kwa mikono yao, kisha wakaishi katika mahema ya Wahagari katika eneo lote la mashariki ya Gileadi.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 5:10
6 Marejeleo ya Msalaba  

Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Abrahamu, anafanya dhihaka.

Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Abrahamu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.

na juu ya makundi ya kondoo alikuwa Yazizi, Mhagri. Hao wote walikuwa watumishi wa akiba alizokuwa nazo mfalme Daudi.

Hema za Edomu, na Waishmaeli, Na Moabu, na Wahagari,

Gebali, na Amoni, na Amaleki, Na Filisti, nao wanaokaa Tiro,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo