Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 4:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Na Hakosi akawazaa Anubu, na Sobeba, na jamaa za Aharheli, mwana wa Harumu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Hakosi aliwazaa Anubi na Sobeba, na ndiye aliyekuwa baba wa jamaa za wazawa wa Aharheli, mwana wa Harumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Hakosi aliwazaa Anubi na Sobeba, na ndiye aliyekuwa baba wa jamaa za wazawa wa Aharheli, mwana wa Harumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Hakosi aliwazaa Anubi na Sobeba, na ndiye aliyekuwa baba wa jamaa za wazawa wa Aharheli, mwana wa Harumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 4:8
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Hela walikuwa Serethi, na Ishari, na Ethnani.

Naye Yabesi alikuwa mwenye heshima kuliko nduguze; na mamaye akamwita Yabesi, akisema, Ni kwa sababu nilimzaa kwa huzuni.

Tena wa makuhani; wazawa wa Habaya, wazawa wa Hakosi, wazawa wa Barzilai, yule aliyeoa mmojawapo wa binti Barzilai, Mgileadi, akaitwa kwa jina lao.

Baada yake akajenga Meremothi, mwana wa Uria, mwana wa Hakosi, sehemu nyingine, kutoka mlangoni mwa nyumba ya Eliashibu mpaka mwisho wa nyumba ya Eliashibu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo