1 Mambo ya Nyakati 4:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Nao wakawaua Waamaleki waliokuwa wamenusurika, wakakaa huko, hata siku hii ya leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Hapo waliwaua Waamaleki waliosalia baada ya kunusurika, na wakaishi huko mpaka leo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Hapo waliwaua Waamaleki waliosalia baada ya kunusurika, na wakaishi huko mpaka leo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Hapo waliwaua Waamaleki waliosalia baada ya kunusurika, na wakaishi huko mpaka leo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Wakawaua Waamaleki waliobaki, na waliokuwa wamenusurika; nao wanaishi huko hadi leo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Wakawaua Waamaleki waliobaki, waliokuwa wamenusurika, nao wanaishi huko hadi leo. Tazama sura |