Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 4:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

40 Wakaona malisho ya unono, mazuri, na nchi yenyewe ilikuwa wazi, tulivu na yenye amani; kwani waliokaa huko zamani walikuwa watu wa Hamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Hapo, walipata malisho tele, tena mazuri sana na pia nchi ilikuwa wazi, tulivu na yenye amani, kwani wenyeji wa nchi hiyo wa hapo awali walikuwa Wahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Hapo, walipata malisho tele, tena mazuri sana na pia nchi ilikuwa wazi, tulivu na yenye amani, kwani wenyeji wa nchi hiyo wa hapo awali walikuwa Wahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Hapo, walipata malisho tele, tena mazuri sana na pia nchi ilikuwa wazi, tulivu na yenye amani, kwani wenyeji wa nchi hiyo wa hapo awali walikuwa Wahamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Huko walipata malisho mengi mazuri, nayo nchi ilikuwa na nafasi kubwa, yenye amani na utulivu. Baadhi ya Wahamu walikuwa wameishi huko awali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Huko walipata malisho mengi mazuri, nayo nchi ilikuwa na nafasi kubwa, yenye amani na utulivu. Baadhi ya Wahamu waliishi huko zamani.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 4:40
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.

Basi wakaenda mpaka maingilio ya Gedori, naam, mpaka upande wa mashariki wa bonde hilo, ili kuwatafutia kondoo wao malisho.

Israeli naye akaingia Misri, Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu.

Akampiga kila mzaliwa wa kwanza wa Misri, Malimbuko ya nguvu katika hema za Hamu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo