1 Mambo ya Nyakati 4:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 hao waliotajwa majina yao ndio waliokuwa wakuu katika jamaa zao; na koo za baba zao zikaongezeka sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Jamaa zao waliendelea kuongezeka kwa wingi sana. Hawa waliotajwa majina ni wakuu katika jamaa zao na koo zao ziliongezeka sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Jamaa zao waliendelea kuongezeka kwa wingi sana. Hawa waliotajwa majina ni wakuu katika jamaa zao na koo zao ziliongezeka sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Jamaa zao waliendelea kuongezeka kwa wingi sana. Hawa waliotajwa majina ni wakuu katika jamaa zao na koo zao ziliongezeka sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Watu hawa walioorodheshwa hapa juu kwa majina walikuwa viongozi wa koo zao. Jamaa zao ziliongezeka sana, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Watu hawa walioorodheshwa hapa juu kwa majina walikuwa viongozi wa koo zao. Jamaa zao ziliongezeka sana, Tazama sura |