Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 4:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 na vijiji vyote vilivyoizunguka miji iyo hiyo, mpaka Baali. Hayo ndiyo makao yao, na hati ya nasaba yao wanayo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 pamoja na vijiji kandokando ya miji hiyo huko Baali. Hayo ndiyo yaliyokuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya nasaba yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 pamoja na vijiji kandokando ya miji hiyo huko Baali. Hayo ndiyo yaliyokuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya nasaba yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 pamoja na vijiji kandokando ya miji hiyo huko Baali. Hayo ndiyo yaliyokuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya nasaba yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 pamoja na vijiji vyote kuizunguka miji hii hadi huko Baali. Haya yalikuwa makazi yao. Nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 pamoja na vijiji vyote kuizunguka hii miji hadi huko Baali. Haya yalikuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 4:33
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na vijiji vyao vilikuwa Etamu, na Aini, na Rimoni, na Tokeni, na Ashani, miji mitano,


Naye Meshobabu, na Yamleki, na Yosha, mwana wa Amazia;


Na hao walioandikwa majina yao waliingia huko katika siku za Hezekia, mfalme wa Yuda, na kuziharibu hema zao, pamoja na hao Wameuni waliokuwa wakiishi huko, wakawaangamiza kabisa, hata siku hii ya leo, nao wakakaa huko badala yao; kwa sababu huko kulikuwa na malisho kwa kondoo wao.


tena vijiji vyote vilivyozunguka miji hiyo kotekote mpaka Baalath-beeri, Rama wa Kusini. Huo ndio urithi wa kabila la wana wa Simeoni kwa kuandama jamaa zao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo