1 Mambo ya Nyakati 4:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Na vijiji vyao vilikuwa Etamu, na Aini, na Rimoni, na Tokeni, na Ashani, miji mitano, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Pia, waliishi katika miji mingine mitano: Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Pia, waliishi katika miji mingine mitano: Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Pia, waliishi katika miji mingine mitano: Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Vijiji vya miji hiyo vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani: miji mitano, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Vijiji vilivyoizunguka vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani; jumla miji mitano: Tazama sura |