Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 4:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Na hawa ndio wana wa babaye Etamu; Yezreeli, na Ishma, na Idbashi; na dada yao aliitwa jina lake Haselelponi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Wana wa Etamu walikuwa Yezreeli, Ishma na Idbashi. Walikuwa na dada mmoja aliyeitwa Haselelponi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Wana wa Etamu walikuwa Yezreeli, Ishma na Idbashi. Walikuwa na dada mmoja aliyeitwa Haselelponi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Wana wa Etamu walikuwa Yezreeli, Ishma na Idbashi. Walikuwa na dada mmoja aliyeitwa Haselelponi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Hawa walikuwa wana wa Etamu: Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 4:3
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na Reaya, mwana wa Shobali, akamzaa Yahathi; na Yahathi akawazaa Ahumai, na Lahadi. Hizo ndizo jamaa za Wasorathi.


na Penueli, babaye Gedori, na Ezeri, babaye Husha. Hao ndio wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrata, babaye Bethlehemu.


Akajenga Bethlehemu, Etamu, Tekoa,


Yezreeli, Yokdeamu, Zanoa;


Ndipo watu elfu tatu wa Yuda wakateremka hadi katika ule ufa wa jabali la Etamu, wakamwambia Samsoni, Je! Hujui ya kuwa Wafilisti wanatutawala? Ni nini hii, basi, uliyotutenda? Akawaambia, Kadiri ile walivyonitenda mimi, ndivyo nilivyowatenda wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo