Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 4:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Wana wa Simeoni; Yemueli, na Yamini, na Yakini, na Sohari, na Shauli;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Simeoni alikuwa na wana watano: Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Simeoni alikuwa na wana watano: Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Simeoni alikuwa na wana watano: Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Wazao wa Simeoni walikuwa: Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Wazao wa Simeoni walikuwa: Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 4:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Simeoni; Yemueli na Yamini, na Ohadi, na Yakini, na Sohari, na Shauli, mwana wa mwanamke Mkanaani.

Hao ndio waliokuwa wafinyanzi, na wenyeji wa Netaimu na Gedera; ndipo walipokaa pamoja na mfalme ili kufanya kazi yake.

na mwanawe huyo ni Shalumu, na mwanawe huyo ni Mibsamu, na mwanawe huyo ni Mishma.

Na wana wa Simeoni; ni Yemueli, na Yamini, na Ohadi, na Yakini, na Sohari, na Shauli mwana wa mwanamke wa Kikanaani; hao ni jamaa za Simeoni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo