1 Mambo ya Nyakati 4:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Hao ndio waliokuwa wafinyanzi, na wenyeji wa Netaimu na Gedera; ndipo walipokaa pamoja na mfalme ili kufanya kazi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hawa ndio wafinyanzi walioishi katika miji ya Netaimu na Gedera, wakimhudumia mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hawa ndio wafinyanzi walioishi katika miji ya Netaimu na Gedera, wakimhudumia mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hawa ndio wafinyanzi walioishi katika miji ya Netaimu na Gedera, wakimhudumia mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Hawa walikuwa wafinyanzi walioishi Netaimu na Gedera; waliishi huko wakimtumikia mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Hawa walikuwa wafinyanzi walioishi Netaimu na Gedera; waliishi huko wakimtumikia mfalme. Tazama sura |