1 Mambo ya Nyakati 4:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye Ge-harashimu; kwani hao walikuwa mafundi stadi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Meonothai alimzaa Ofra. Seraya alimzaa Yoabu, mwanzilishi wa Bonde la Mafundi, lililopewa jina hilo kwa sababu wote waliokuwa humo walikuwa mafundi stadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Meonothai alimzaa Ofra. Seraya alimzaa Yoabu, mwanzilishi wa Bonde la Mafundi, lililopewa jina hilo kwa sababu wote waliokuwa humo walikuwa mafundi stadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Meonothai alimzaa Ofra. Seraya alimzaa Yoabu, mwanzilishi wa Bonde la Mafundi, lililopewa jina hilo kwa sababu wote waliokuwa humo walikuwa mafundi stadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Meonothai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu, lililoitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi stadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Meonathai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu. Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi. Tazama sura |