Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Na wana wa Kenazi; Othnieli, na Seraya; na wana wa Othnieli; Hathathi na Meonothai.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya; na wana wa Othnieli walikuwa Hathathi na Meonothai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya; na wana wa Othnieli walikuwa Hathathi na Meonothai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya; na wana wa Othnieli walikuwa Hathathi na Meonothai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonothai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonathai.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 4:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na Eshtoni akamzaa Beth-Rafa, na Pasea, na Tehina, babaye Ir-nahashi. Hao ni watu wa Reka.


Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye Ge-harashimu; kwani hao walikuwa mafundi stadi.


Naye Othnieli mwana wa Kenazi, nduguye Kalebu, aliutwaa; basi akampa Aksa binti yake awe mkewe.


Naye Othnieli, mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa huyo Kalebu, aliutwaa; basi akamwoza mwanawe Aksa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo