Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 4:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Naye Kelubu, nduguye Shuha, akamzaa Mehiri, aliyekuwa babaye Eshtoni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kelubu, nduguye Shuha, alimzaa Mehiri na Mehiri akamzaa Eshtoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kelubu, nduguye Shuha, alimzaa Mehiri na Mehiri akamzaa Eshtoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kelubu, nduguye Shuha, alimzaa Mehiri na Mehiri akamzaa Eshtoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kelubu, nduguye Shuha, akamzaa Mehiri, naye Mehiri akamzaa Eshtoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kelubu, nduguye Shuha, akamzaa Mehiri, naye Mehiri akamzaa Eshtoni.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 4:11
2 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibariki kweli kweli, na kuipanua mipaka yangu, na mkono wako ukawa pamoja nami, nawe ungenilinda nisipatwe na maovu wala madhara! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.

Na Eshtoni akamzaa Beth-Rafa, na Pasea, na Tehina, babaye Ir-nahashi. Hao ni watu wa Reka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo