Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Na hawa alizaliwa huko Yerusalemu; Shamua, na Shobabu, na Nathani, na Sulemani, wanne, wana wa Bathsheba, binti Eliamu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Wafuatao ni wana wa mfalme Daudi alipokuwa Yerusalemu: Mkewe Bathshua, bintiye Amieli, alimzalia wana wanne: Himea, Shobabu, Nathani na Solomoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Wafuatao ni wana wa mfalme Daudi alipokuwa Yerusalemu: Mkewe Bathshua, bintiye Amieli, alimzalia wana wanne: Himea, Shobabu, Nathani na Solomoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Wafuatao ni wana wa mfalme Daudi alipokuwa Yerusalemu: mkewe Bathshua, bintiye Amieli, alimzalia wana wanne: Himea, Shobabu, Nathani na Solomoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 nao hawa ndio wana wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu: mkewe Bathsheba, binti Amieli, alimzalia wana wanne: Shamua, Shobabu, Nathani na Sulemani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 nao hawa ndio watoto wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu: mkewe Bathsheba, binti Amieli, alimzalia Shamua, Shobabu, Nathani na Sulemani.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 3:5
11 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Daudi akatuma mtu akauliza habari za yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, Je! Huyu siye Bathsheba, binti Eliamu, mkewe Uria, Mhiti?


Mfalme Sulemani akajibu, akamwambia mamaye, Na mbona wamtakia Adonia Abishagi, Mshunami? Umtakie na ufalme pia; kwa kuwa yeye ni ndugu yangu mkubwa; naam, umtakie yeye, na Abiathari kuhani, na Yoabu mwana wa Seruya.


na Ibhari, na Elishua, na Elipeleti;


Yese akamzaa mfalme Daudi. Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;


wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo