Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 3:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Sita alizaliwa huko Hebroni; na huko akatawala miaka saba na miezi sita; na huko Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Wote sita, walizaliwa Hebroni ambako Daudi alitawala kwa muda wa miaka saba na nusu. Huko Yerusalemu, alitawala kwa muda wa miaka thelathini na mitatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Wote sita, walizaliwa Hebroni ambako Daudi alitawala kwa muda wa miaka saba na nusu. Huko Yerusalemu, alitawala kwa muda wa miaka thelathini na mitatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Wote sita, walizaliwa Hebroni ambako Daudi alitawala kwa muda wa miaka saba na nusu. Huko Yerusalemu, alitawala kwa muda wa miaka thelathini na mitatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita. Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na tatu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita. Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu,

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 3:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na wakati Daudi alipotawala Hebroni juu ya nyumba ya Yuda ulikuwa miaka saba na miezi sita.

Na siku alizotawala Daudi juu ya Israeli zilikuwa miaka arubaini; huko Hebroni alitawala miaka saba, na katika Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu.

Na wakati aliotawala juu ya Israeli, ulikuwa miaka arubaini; miaka saba alitawala Hebroni, na miaka thelathini na mitatu akatawala Yerusalemu.

wa tano, Shefatia, wa Abitali; wa sita, Ithreamu, kwa Egla, mkewe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo