Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 3:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 wa tano, Shefatia, wa Abitali; wa sita, Ithreamu, kwa Egla, mkewe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 wa tano alikuwa Shefatia, ambaye mama yake alikuwa Abitali; na wa sita alikuwa Ithreamu, ambaye mama yake alikuwa Egla.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 wa tano alikuwa Shefatia, ambaye mama yake alikuwa Abitali; na wa sita alikuwa Ithreamu, ambaye mama yake alikuwa Egla.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 wa tano alikuwa Shefatia, ambaye mama yake alikuwa Abitali; na wa sita alikuwa Ithreamu, ambaye mama yake alikuwa Egla.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 wa tano alikuwa Shefatia ambaye mama yake aliitwa Abitali; wa sita alikuwa Ithreamu, aliyezaliwa na mke wake Egla.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 wa tano alikuwa Shefatia ambaye mama yake alikuwa Abitali; wa sita alikuwa Ithreamu, aliyezaliwa na mke wake Egla.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 3:3
4 Marejeleo ya Msalaba  

na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali;

na wa sita Ithreamu, wa Egla, mkewe Daudi. Hawa walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni.

wa tatu, Absalomu, mwana wa Maaka, binti Talmai, mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, mwana wa Hagithi;

Sita alizaliwa huko Hebroni; na huko akatawala miaka saba na miezi sita; na huko Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo