1 Mambo ya Nyakati 3:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Na wana wa Shekania ni hawa; Shemaya, na wana wa Shemaya; Hatushi, na Igali, na Baria, na Nearia, na Shafati, watu sita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Shekania alimzaa Shemaya. Wana wa Shemaya walikuwa sita: Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Shekania alimzaa Shemaya. Wana wa Shemaya walikuwa sita: Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Shekania alimzaa Shemaya. Wana wa Shemaya walikuwa sita: Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Wazao wa Shekania: Shemaya na wanawe: Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati; jumla yao walikuwa sita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Wazao wa Shekania: Shemaya na wanawe: Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati; jumla yao walikuwa sita. Tazama sura |