1 Mambo ya Nyakati 3:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Na wana wa Yekonia, huyo aliyechukuliwa mateka; mwanawe Shealtieli, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Wana wa Yekonia aliyechukuliwa mateka na Wababuloni walikuwa saba: Shealtieli, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Wana wa Yekonia aliyechukuliwa mateka na Wababuloni walikuwa saba: Shealtieli, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Wana wa Yekonia aliyechukuliwa mateka na Wababuloni walikuwa saba: Shealtieli, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Hawa walikuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe, Tazama sura |
Katika mwaka wa pili wa kufika kwao katika nyumba ya Mungu, huko Yerusalemu, mwezi wa pili, Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na Yoshua, mwana wa Yosadaki, na ndugu zao wengine, makuhani na Walawi, na watu wote, waliotoka katika uhamisho na kufika Yerusalemu, wakaanza; nao wakawaweka Walawi, hao wenye miaka ishirini na waliozidi, ili kuisimamia kazi ya nyumba ya BWANA.