Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 29:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Na wale walioonekana kuwa na vito vya thamani wakavitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya BWANA, chini ya mkono wa Yehieli, Mgershoni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Wale ambao walikuwa na vito vya thamani walivitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, chini ya uangalizi wa Yehieli, Mgershoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Wale ambao walikuwa na vito vya thamani walivitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, chini ya uangalizi wa Yehieli, Mgershoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Wale ambao walikuwa na vito vya thamani walivitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, chini ya uangalizi wa Yehieli, Mgershoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kila mmoja aliyekuwa na vito vya thamani akavitoa katika hazina ya Hekalu la Mwenyezi Mungu, chini ya uangalizi wa Yehieli Mgershoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kila mmoja aliyekuwa na vito vya thamani akavitoa katika hazina ya Hekalu la bwana chini ya uangalizi wa Yehieli Mgershoni.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 29:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wana wa Ladani; Yehieli mkuu wao, na Zethamu, na Yoeli, watu watatu.

Akaipamba nyumba kwa vito iwe na uzuri; nayo dhahabu ilikuwa dhahabu ya Parvaimu.

Wakaja kila mtu ambaye moyo wake ulimhimiza, na kila mtu ambaye roho yake ilimfanya kuwa apenda, nao wakaleta sadaka za kumpa BWANA, kwa kazi ya hema ya kukutania, na kwa utumishi wake, na kwa hayo mavazi matakatifu.

Na majina ya wana wa Gershoni kwa jamaa zao ni Libni na Shimei.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo