1 Mambo ya Nyakati 29:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 nao wakatoa, kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu, dhahabu talanta elfu tano, na darkoni elfu kumi, na fedha talanta elfu kumi, na shaba talanta elfu kumi na nane, na chuma talanta elfu mia moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Walitoa kwa ajili ya huduma za nyumba ya Mungu: Tani 170 za dhahabu, tani 340 za fedha, tani 620 za shaba na tani 3,400 za chuma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Walitoa kwa ajili ya huduma za nyumba ya Mungu: Tani 170 za dhahabu, tani 340 za fedha, tani 620 za shaba na tani 3,400 za chuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Walitoa kwa ajili ya huduma za nyumba ya Mungu: tani 170 za dhahabu, tani 340 za fedha, tani 620 za shaba na tani 3,400 za chuma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta elfu tano na darkoni elfu kumi za dhahabu, talanta elfu kumi za fedha, talanta elfu kumi na nane za shaba, na talanta elfu mia moja za chuma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 na darkoni 10,000 za dhahabu, talanta 10,000 za fedha, talanta 18,000 za shaba na talanta 100,000 za chuma. Tazama sura |