1 Mambo ya Nyakati 28:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Lakini Mungu akaniambia, Wewe hutajenga nyumba kwa ajili ya jina langu, kwa sababu umekuwa mtu wa vita, nawe umemwaga damu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini Mungu alinikataza, kwa sababu mimi ni mtu wa vita na nimekwisha mwaga damu nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini Mungu alinikataza, kwa sababu mimi ni mtu wa vita na nimekwisha mwaga damu nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini Mungu alinikataza, kwa sababu mimi ni mtu wa vita na nimekwisha mwaga damu nyingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini Mungu akaniambia, ‘Wewe hutajenga nyumba kwa Jina langu, kwa sababu wewe umekuwa mtu wa vita na umemwaga damu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini Mungu akaniambia, ‘Wewe hutajenga nyumba kwa Jina langu, kwa sababu wewe umepigana vita na umemwaga damu.’ Tazama sura |