1 Mambo ya Nyakati 27:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kamanda wa sita wa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoi; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mwezi wa sita: Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoa; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mwezi wa sita: Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoa; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mwezi wa sita: Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoa; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Jemadari wa kikosi cha sita kwa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi Mtekoa. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Jemadari wa kikosi cha sita kwa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi Mtekoa. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. Tazama sura |