1 Mambo ya Nyakati 27:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kamanda wa tano wa mwezi wa tano alikuwa Shamhuthi, Mwizrahi; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mwezi wa tano: Shamhuthi, Mwizrahi; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mwezi wa tano: Shamhuthi, Mwizrahi; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mwezi wa tano: Shamhuthi, Mwizrahi; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Jemadari wa kikosi cha tano kwa mwezi wa tano alikuwa Shamhuthi Mwizrahi. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Jemadari wa kikosi cha tano kwa mwezi wa tano alikuwa Shamhuthi Mwizrahi. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. Tazama sura |