Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 27:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 na juu ya makundi ya kondoo alikuwa Yazizi, Mhagri. Hao wote walikuwa watumishi wa akiba alizokuwa nazo mfalme Daudi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Hao wote walikuwa watunzaji wa mali ya mfalme Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Hao wote walikuwa watunzaji wa mali ya mfalme Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Hao wote walikuwa watunzaji wa mali ya mfalme Daudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Yazizi Mhagri alikuwa msimamizi wa makundi ya kondoo na mbuzi. Hawa wote ndio walikuwa maafisa wasimamizi wa mali alizokuwa nazo Mfalme Daudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Yazizi Mhagri alikuwa msimamizi wa makundi ya kondoo na mbuzi. Hawa wote ndio waliokuwa maafisa wasimamizi wa mali alizokuwa nazo Mfalme Daudi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 27:31
6 Marejeleo ya Msalaba  

na juu ya ngamia alikuwa Obili, Mwishmaeli; na juu ya punda alikuwa Yedeya, Mmeronothi;


Naye Yonathani, mjombawe Daudi, alikuwa mshauri, na mtu wa akili, na mwandishi; Yehieli mwana wa Hakmoni alikuwa pamoja na wana wa mfalme;


Na katika siku za Sauli wakapigana vita na Wahajiri, ambao waliangushwa kwa mikono yao; nao wakakaa katika hema zao katika nchi yote upande wa mashariki wa Gileadi.


Nao wakapigana vita na Wahajiri; na Yeturi, na Nafishi, na Nodabu.


Nami nikanunua watumwa na wajakazi, nikawa na watumwa waliozaliwa nyumbani mwangu; tena nikawa na mali nyingi za ng'ombe na kondoo, kuliko wote walionitangulia katika Yerusalemu;


Basi siku ile palikuwapo na mtu mmoja wa watumishi wa Sauli, amezuiwa hapo mbele za BWANA jina lake akiitwa Doegi, Mwedomi, mkubwa wa wachungaji wa Sauli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo