Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 27:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 na juu ya hao wenye kazi ya kulima shamba alikuwa Ezri mwana wa Kelubu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Aliyewasimamia wakulima alikuwa Ezri mwana wa Kelubu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Aliyewasimamia wakulima alikuwa Ezri mwana wa Kelubu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Aliyewasimamia wakulima alikuwa Ezri mwana wa Kelubu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Ezri mwana wa Kelubu alikuwa msimamizi wa wafanyakazi waliolima katika mashamba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Ezri mwana wa Kelubu alikuwa msimamizi wa wafanyakazi waliolima katika mashamba.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 27:26
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na juu ya hazina za mfalme alikuwa Azmawethi mwana wa Adieli; na juu ya hazina za mashambani, za mijini, na vijijini, na ngomeni, alikuwa Yonathani mwana wa Uzia;


na juu ya mashamba ya mizabibu alikuwa Shimei, Mramathi; na juu ya mazao ya mizabibu kwa ghala za mvinyo alikuwa Zabdi, Mshifmi;


Akajenga minara tena nyikani, akachimba mabwawa mengi, maana alikuwa na ng'ombe tele; katika Shefela pia, na katika nchi tambarare; tena alikuwa na wakulima na watunza mizabibu milimani, na katika mashamba ya neema; maana yeye alipenda ukulima.


Lakini, pamoja na hayo, manufaa ya nchi kwa kila njia ni mfalme anayejibidiisha kwa ajili ya shamba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo