1 Mambo ya Nyakati 27:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao walikuwa viongozi wa makabila ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 kwa Wadani: Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio walikuwa maafisa wa makabila ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 kwa Wadani: Azareli mwana wa Yerohamu. Hao ndio waliokuwa maafisa wa makabila ya Israeli. Tazama sura |
Kisha Daudi akawakusanya huko Yerusalemu wakuu wote wa Israeli, wakuu wa kabila, na makamanda wa vikosi wenye kumtumikia mfalme kwa zamu, na makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia, na wenye kutawala juu ya mali na milki za mfalme, na za wanawe, pamoja na matowashi, na mashujaa, naam, wanaume mashujaa wote.