Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 27:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 wa nusu kabila la Manase katika Gileadi, Ido mwana wa Zekaria; wa Benyamini, Yaasieli mwana wa Abneri;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 wa nusu ya kabila la Manase katika Gileadi, Ido mwana wa Zekaria; na wa Benyamini, Yaasieli mwana wa Abneri;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 wa nusu ya kabila la Manase katika Gileadi, Ido mwana wa Zekaria; na wa Benyamini, Yaasieli mwana wa Abneri;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 wa nusu ya kabila la Manase katika Gileadi, Ido mwana wa Zekaria; na wa Benyamini, Yaasieli mwana wa Abneri;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 kwa nusu nyingine ya kabila la Manase huko Gileadi: Ido mwana wa Zekaria; kwa Wabenyamini: Yaasieli mwana wa Abneri;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 kwa nusu nyingine ya kabila la Manase huko Gileadi: Ido mwana wa Zekaria; kwa Wabenyamini: Yaasieli mwana wa Abneri;

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 27:21
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Abneri alipokuwa amerudi Hebroni, Yoabu akamchukua kando hadi katikati ya lango, ili aseme naye kwa faragha; akampiga mkuki wa tumbo huko, hadi akafa; kwa ajili ya damu ya Asaheli, ndugu yake.

Wakajua watu wote, na Israeli wote, siku ile, ya kuwa si nia ya mfalme kwamba auawe Abneri, mwana wa Neri.

Ahinadabu mwana wa Ido, katika Mahanaimu.

wa wana wa Efraimu, Hoshea mwana wa Azazia, wa nusu kabila la Manase, Yoeli mwana wa Pedaya;

wa Dani, Azareli mwana wa Yerohamu. Hao walikuwa viongozi wa makabila ya Israeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo