Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 27:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Juu ya zamu ya kwanza ya mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu, mwana wa Zabdieli; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Yashobeamu mwana wa Zabdieli alikuwa kiongozi wa kikosi cha kwanza mnamo mwezi wa kwanza; kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Yashobeamu mwana wa Zabdieli alikuwa kiongozi wa kikosi cha kwanza mnamo mwezi wa kwanza; kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Yashobeamu mwana wa Zabdieli alikuwa kiongozi wa kikosi cha kwanza mnamo mwezi wa kwanza; kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Msimamizi wa kikosi cha kwanza kwa mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu mwana wa Zabdieli. Kulikuwa na watu elfu ishirini na nne katika kikosi chake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Msimamizi wa kikosi cha kwanza kwa mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu mwana wa Zabdieli. Kulikuwa na watu 24,000 katika kikosi chake.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 27:2
4 Marejeleo ya Msalaba  

Haya ndiyo majina ya mashujaa aliokuwa nao Daudi; Yashobeamu Mhakmoni, Hamkuu wa wakuu wa majeshi; huyo aliliinua shoka lake juu ya watu mia nane waliouawa pamoja.


Na hii ndiyo hesabu ya hao mashujaa aliokuwa nao Daudi; Yashobeamu, Mhakmoni, mkuu wa makamanda; huyo aliuinua mkuki wake juu ya watu mia tatu, akawaua pamoja.


Basi wana wa Israeli kwa hesabu yao, wakuu wa koo za mababa, na makamanda wa maelfu na wa mamia, na wasimamizi wao waliomtumikia mfalme, kwa neno lolote la zamu za kuingia na za kutoka mwezi kwa mwezi, miezi yote ya mwaka, wa kila zamu, walikuwa watu elfu ishirini na nne.


Yeye alikuwa wa wana wa Peresi, mkuu wa makamanda wote wa jeshi mwezi wa kwanza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo