1 Mambo ya Nyakati 27:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Kamanda wa kumi na moja wa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya, Mpirathoni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mwezi wa kumi na moja: Benaya, Mpirathoni; wa wana wa Efraimu, naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mwezi wa kumi na moja: Benaya, Mpirathoni; wa wana wa Efraimu, naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mwezi wa kumi na moja: Benaya, Mpirathoni; wa wana wa Efraimu, naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Jemadari wa kumi na moja kwa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya Mpirathoni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Jemadari wa kumi na moja kwa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya Mpirathoni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. Tazama sura |