Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 27:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Kamanda wa kumi wa mwezi wa kumi alikuwa Maharai, Mnetofathi, wa Wazera; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Mwezi wa kumi: Maharai, Mnetofathi wa Wazera; naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Mwezi wa kumi: Maharai, Mnetofathi wa Wazera; naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Mwezi wa kumi: Maharai, Mnetofathi wa Wazera; naye alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Jemadari wa kumi kwa mwezi wa kumi alikuwa Maharai Mnetofathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Jemadari wa kumi kwa mwezi wa kumi alikuwa Maharai Mnetofathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 27:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

na Salmoni, Mwahohi, na Maharai, Mnetofathi;


Maharai Mnetofathi, Heledi mwana wa Baana Mnetofathi;


Kamanda wa tisa wa mwezi wa tisa alikuwa Abiezeri, Mwanathothi, wa Wabenyamini; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.


Kamanda wa kumi na moja wa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya, Mpirathoni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.


wa Sohari, jamaa ya Wasohari; wa Shauli, jamaa ya Washauli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo