1 Mambo ya Nyakati 27:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Kamanda wa saba wa mwezi wa saba alikuwa Heksi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwezi wa saba: Helesi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwezi wa saba: Helesi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwezi wa saba: Helesi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; alikuwa na kundi la wanajeshi 24,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Jemadari wa kikosi cha saba kwa mwezi wa saba alikuwa Helesi Mpeloni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu elfu ishirini na nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Jemadari wa kikosi cha saba kwa mwezi wa saba alikuwa Helesi Mpeloni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. Tazama sura |