1 Mambo ya Nyakati 26:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Katika Wahebroni, Hashabia na nduguze, mashujaa, elfu moja na mia saba, walikuwa na usimamizi juu ya Israeli ng'ambo ya Yordani upande wa magharibi; kwa ajili ya kazi zote za BWANA, na kwa utumishi wa mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Miongoni mwa Wahebroni, Hashabia na nduguze 1,700, wote watu mashujaa walipewa wajibu wa kusimamia sehemu za Israeli zilizokuwa upande wa magharibi wa mto Yordani. Walisimamia kazi yote ya Mwenyezi-Mungu na kazi za mfalme Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Miongoni mwa Wahebroni, Hashabia na nduguze 1,700, wote watu mashujaa walipewa wajibu wa kusimamia sehemu za Israeli zilizokuwa upande wa magharibi wa mto Yordani. Walisimamia kazi yote ya Mwenyezi-Mungu na kazi za mfalme Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Miongoni mwa Wahebroni, Hashabia na nduguze 1,700, wote watu mashujaa walipewa wajibu wa kusimamia sehemu za Israeli zilizokuwa upande wa magharibi wa mto Yordani. Walisimamia kazi yote ya Mwenyezi-Mungu na kazi za mfalme Daudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kutoka kwa wana wa Hebroni: Hashabia na jamaa zake, watu elfu moja na mia saba wenye uwezo, waliwajibika katika Israeli magharibi mwa Yordani kwa ajili ya kazi zote za Mwenyezi Mungu na utumishi wa mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kutoka kwa wana wa Hebroni: Hashabia na jamaa zake, watu 1,700 wenye uwezo, waliwajibika katika Israeli magharibi ya Yordani kwa ajili ya kazi zote za bwana na utumishi wa mfalme. Tazama sura |