Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 26:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 na Shebueli, mwana wa Gershomu, mwana wa Musa, alikuwa mtunzaji wa hazina zote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Shebueli, mwana wa Gershoni, mwana wa Mose, alikuwa ofisa mkuu wa hazina hizo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Shebueli, mwana wa Gershoni, mwana wa Mose, alikuwa ofisa mkuu wa hazina hizo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Shebueli, mwana wa Gershoni, mwana wa Mose, alikuwa ofisa mkuu wa hazina hizo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Shebueli, mzao wa Gershomu mwana wa Musa, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Shebueli, mzao wa Gershomu mwana wa Musa, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 26:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Eliezeri; Rehabia mkuu wao. Yeye Eliezeri hakuwa na wana wengine; lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana.

Na wa wana wa Lawi, waliosalia; wa wana wa Amramu, Shebueli; wa wana wa Shebueli, Yedeya.

Na katika Walawi; Ahia mtunzaji wa hazina ya nyumba ya Mungu, pamoja na hazina ya vitu vilivyowekwa wakfu.

Wa Waamrami wa Waishari, wa Wahebroni, wa Wauzieli;

Na nduguze; wa Eliezeri, Rehabia mwanawe, na Ishia mwanawe, na Yoramu mwanawe, na Zikri mwanawe, na Shelomothi mwanawe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo