Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 26:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Wa Waamrami wa Waishari, wa Wahebroni, wa Wauzieli;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Pia kazi ziligawanywa kwa watu wa koo za Wasiria, Waishari, Wahebroni na Wauzieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Pia kazi ziligawanywa kwa watu wa koo za Wasiria, Waishari, Wahebroni na Wauzieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Pia kazi ziligawanywa kwa watu wa koo za Wasiria, Waishari, Wahebroni na Wauzieli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kutoka kwa Waamrami, Waishari, Wahebroni na Wauzieli:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kutoka kwa wana wa Amramu, wana wa Ishari, wana wa Hebroni na wana wa Uzieli:

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 26:23
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wana wa Kohathi; Amramu, Ishari, Hebroni, na Uzieli, watu wanne.


Wana wa Yehieli; Zethamu, na Yoeli nduguye, walikuwa watunzaji wa hazina ya nyumba ya BWANA.


na Shebueli, mwana wa Gershomu, mwana wa Musa, alikuwa mtunzaji wa hazina zote.


Na wana wa Kohathi kwa jamaa zao ni Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.


Na katika Kohathi ni jamaa ya Waamrami, na jamaa ya Waishari, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya hao Wauzieli; hizo ni jamaa za Wakohathi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo